full

Khabari za Ijumaatano 18 Novemba 2020

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman.

Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii.

Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: Karibu@OmanKwaKiswahili.om 

Ahsanteni sana na kila la khair.

About the Podcast

Show artwork for Khabari za Oman أخبار عُمان بالسواحيلية
Khabari za Oman أخبار عُمان بالسواحيلية
Khabari za Oman kwa Kiswahili أخبار عُمان بالسواحيلية